Thursday, July 21, 2016

Jose Mourinho kaeleza kwa nini kamuacha Zlatan Pre-Season tour

    



Kocha wa Man United Jose Mourinho ameweka wazi sababu zilizomfanya amuache Ibrahimovic katika safari ya China, maswali yalikuwa mengi kutokana na Zlatankupewa mapumziko marefu licha ya Sweden kutolewa mapema Euro 2016 katika hatua ya makundi wiki moja kabla ya England kutolewa lakini wachezaji wa England wapo katika timu.
35DCCE3300000578-3696898-The_34_year_old_put_pen_to_paper_on_an_initial_one_year_deal_at_-a-21_1468908142948
Uamuzi wangu wa kumuacha Zlatan katika tour umechukua saa kadhaa na kujadiliana na staff licha ya kuwa Zlatan walitolewa mapema Euro, yaani mechi moja kabla ya England kwa sababu, miili ipo tofauti, akili zipo tofauti hivyo anahitaji muda wa kuzoea kwa kupata mapumziko ya kutosha” 

 watch the video in the link provided
blob:https%3A//www.youtube.com/06b79310-684a-4ddd-9859-42fcc924652b

No comments:

Post a Comment

The crisis between the US and Iran is far from over

There are still many unanswered questions about the evidence of "imminent and sinister attacks" against Americans that led the US...