Sunday, November 20, 2016

http://Youthnize.com/?ref=368316

Make sure guys you visite the link
Cause its a redemption link, Jobless
Just do so and fallow tha instruction
Given.
        THANKS AS FOR NOW

Sunday, July 31, 2016

Stand for what you really are.....never test the flavor of your neighbours
























  • According to herself: she felt like she was a slave in her own country

















  • But here,things ain't the way they use to be.. hence she believe in somebody else within a short period of time.. this is really awesome

                                KNOWN AS -TRUE COLOUR

Chelsea sasa wapo radhi kutoa zaidi ya Tsh Bilioni 190 kwa ajili ya Lukaku

Dirisha la usajili la msimu huu kwa vilabu vya soka barani Ulaya linazidi kuvutia zaidi, hii inatokana na vilabu vingi sasa kutaka kuwarudisha katika timu zao wachezaji wao wa zamani kwa gharama kubwa wakati waliwaacha waondoke kirahisi misimu kadhaa iliyopita.
Man United wanataka kuvunja rekodi ya usajili kwa kumridisha PogbaReal Madridwamemrudisha Morata kikosini, Borussia Dortmund tayari wamemrudisha Mario katika kikosi chao, sasa Chelsea inajiandaa kutoa euro milioni 80 kwa ajili ya kuishawish Evertonimuachie mchezaji wao wa zamani Romelu Lukaku arejee Stamford Bridge.
Lukaku-Chelsea
Mwandishi Ivan Zazzaroni wa gazeti la dello Sport ameandika katika gazeti kuwa Chelseawapo tayari kutoa euro milioni 80 kwa ajili ya kumrudisha mshambuliaji wao Romelu Lukaku aliyeondoka Stamford Bridge 2014, Lukaku ameondoka Chelsea akiwa kacheza mechi 10 katika kipindi cha miaka mitatu alipojiunga nayo akitokea Anderlecht.


Monday, July 25, 2016

Top 4 Richest People In Tanzania

The United Republic of Tanzania is located in East Africa. Tanzania’s economy is heavily based on agriculture. It accounts for more than 25 percent of GDP and around 85 percent of exports. Tanzania has minerals like gold, diamond, coal, uranium, iron, nickel, chromium, tin, platinum and others.
Tanzania has produced many rich people. Here is a brief overview of the top four richest people in Tanzania, according to Forbes.

4) Reginald Mengi – Net Worth: $560 Million

This self-made media mogul heads one of the largest media conglomerates in Africa. His IPP Media Group owns 11 newspapers, radio stations, TV stations and internet properties.

3) Said Salim Bakhresa – Net Worth: $575 Million

The 65-year-old self-made millionaire is a Tanzanian businessman. He launched Azam TV, a pay TV service for East Africa. He dropped out of school when he was 14 to sell potato mix and then opened a small restaurant and later moved into grain milling. In the last four decades, he has grown his $750 million (sales) Bakhresa Group into one of East Africa’s largest conglomerates, with more than 5,000 employees and interests in food and beverages, packaging, ferry services and petroleum trading.

2) Rostam Azizi – Net Worth $1 Billion

Rostam Azizi is the first billionaire from Tanzania. In May 2014, he sold a 17.2 percent stake in Vodacom Tanzania, the largest mobile phone operator in the nation. He also owns Caspian Mining, a contract mining company that provides mining services to giants like BHP Billiton and Barrick Gold. Caspian Mining also owns several mining concessions for gold, copper and Iron ore in Tanzania. Other assets include a stake in Dar es Salaam Port in which he is a partner with Hutchison Whampoa and extensive real estate in Tanzania, Dubai, Oman and Lebanon.

1) Mohammed Dewji – Net Worth: $1.3 Billion

This 40-year-old Tanzanian millionaire is the youngest among Africa’s 50 richest for the third year. He owns 75 percent of METL Group, one of Tanzania’s largest industrial conglomerates founded by his father. Mohammed Dewji turned a trading house into industrial conglomerate. He acquired government-owned manufacturing plants in the textiles and edible oils industries on the cheap and transformed them into profitable businesses using lean management style.

The above-mentioned millionaires have proved that it is possible for anyone to be rich as long as the person is willing to work hard, with focus.

Friday, July 22, 2016

It's quite possible

To view this email in a web browser, go here
Study London | London just got better for you!

With all the recent uncertainty following the UK vote for Brexit it is easy to become distracted from the fact the London remains at the pinnacle of Global Cities. London continues to provide truly amazing opportunities and experiences to visitors and citizens alike.

And now, in a very positive way for international students choosing to take advantage of some of the world's top universities, it is considerable cheaper to live and study in London.

Same global city, same world-class education, same amazing cultural vibrancy but now your money goes a lot, lot further which makes your experience even better!

We talked to our money expert, Peter Miles of UniZest, on how to make your funding stretch further. Find out more below.


Moja kati ya dalili ya kuwa Paul Pogba atatua Man United msimu huu

Klabu ya Manchester United inayofundishwa na kocha mreno kwa sasa Jose Mourinhoimerudi kwenye headlines baada ya July 21 kutoa namba za jezi watakazovaa wachezaji wake kwa msimu wa 2016/2017, Man United wametangaza namba hizo za jezi na kuiacha namba ambayo inaaminika kuwa katengewa Paul Pogba.
Man United ambayo usiku wa July 20 iliripotiwa na na The Sun kuwa imekubaliana naJuventus ya Italia kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ufaransa Paul Pogba kwa dau la pound milioni 105, inatajwa kuacha jezi namba 6 wazi, kitu ambacho kinatsirika kuwa ni namba ya jezi ambayo kawekewa Paul Pogba.
Manchester-United-Squad-Numbers-1024x1024
Wachezaji wapya wa Man United wote washapewa namba za jezi kama Zlatan Ibrahimovic atavaa jezi namba 9 iliyokuwa inavaliwa na Anthony MartialEric Baillyatavaa jezi namba 3 na Henrikh Mkhitaryan atavaa jezi namba 22. Pogba wakati anaondoka Man United 2012 alikuwa akivaa jezi namba 42.
paulpogba-cropped_483zcu1cfshg1u6mwmw4qtyl7
Ametengewa jezi namba 6 kwa sababu ndio aliyokuwa anaivaa zamani Juventus
TURIN, ITALY - OCTOBER 25:  A particular of the t-shirt of Paul Pogba of Juventus FC with the number 10 + 5 during the Serie A match between Juventus FC and Atalanta BC at Juventus Arena on October 25, 2015 in Turin, Italy.  (Photo by Valerio Pennicino/Getty Images)
Kwa sasa Juventus anavaa jezi namba 10 jezi ambayo hawezi kuipata inavaliwa na Wayne Rooney Man United

Trump finished Pledges US crime



TrumpImage copyright
Image Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ameahidi kumaliza uhalifu na ghasia nchini Marekani iwapo atachaguliwa kuwa rais kwenye uchaguzi mkuu mwezi Novemba.

Akiongea katika kongamano kuu la chama cha Reublican wakati wa hotuba yake ya kukubali uteuzi, mgombea huyo amesema hakuwezi kuwa na ufanisi bila kuwepo utawala wa sheria.
Aidha, ameahidi kuchukua hatua kali kukabiliana na wahamiaji haramu na akaonga kuwa kwa sasa wahamiaji wanaruhusiwa kuingia na kuishi katika jamii za Marekani bila kuzingatia usalama wa umma.
Bw Trump amejieleza kama mkombozi na sauti ya wanyonge na watu waliosahaulika nchini Marekani, na akajionyesha kama mtu mwenye sifa tofauti na mpinzani wake wa chama cha Democratic Hillary Clinton ambaye sana amemuonesha kama mtu mfisadi na asiyewajibika.
Mfanyabiashara huyo tajiri kutoka Marekani amesema atakomesha sera ya kujenga mataifa na kufanikisha mageuzi ya serikali katika nchi nyingine ambayo amesema imefeli.


Image copyright

Amesema sera hiyo ndiyo chanzo cha matatizo yanayoshuhudiwa nchini Iraq, Libya, Misri na Syria.
Ameahidi kufanya kazi na washirika wote wa Marekani wanaotaka kuangamiza kundi la Islamic State.



Ameituhumu Uchina kwa wizi wa haki miliki za Wamarekani, na kuieleza Beijing kama taifa lililohadaa zaidi katika thamani ya sarafu yake katika historia.
Bw Trump ameahidi kushauriana upya na washirika kuhusu mikataba ya kibiashara kuhakikisha Marekani inafaidi.

Magazeti ya Tanzania, leo July 22, 2016 Kwenye, Udaku, Hardnews na michezo


IMG_20160722_050520
IMG_20160722_050538
IMG_20160722_050603
IMG_20160722_050620
IMG_20160722_050637
IMG_20160722_050657
IMG_20160722_050712
IMG_20160722_050729
IMG_20160722_050744
IMG_20160722_050802
IMG_20160722_050820
IMG_20160722_050838
IMG_20160722_050858
IMG_20160722_050915
IMG_20160722_050935
IMG_20160722_050956
IMG_20160722_051015
IMG_20160722_051032
IMG_20160722_051050
IMG_20160722_051115
IMG_20160722_051137
IMG_20160722_051152
IMG_20160722_051209
IMG_20160722_051231
IMG_20160722_051254
IMG_20160722_051319
IMG_20160722_051342
IMG_20160722_051407
IMG_20160722_051428
IMG_20160722_051445

Thursday, July 21, 2016

Walarushwa watakiwa kuzisogeza au kutubu

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva amegawa mikakati na majukumu ya kazi kwa watendaji wa halmashauri na wenyeviti wa serikali za mitaa, huku akiwaonya waliokuwa wakiishi kwa kutegemea rushwa kujisogeza mapema au kutubu madhambi yao....
                                                                              read more...

DKT. REGINALD MENGI ATUMIA UJUMBE KWA WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA

Katika kufikia malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025, Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi amemtumia Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ujumbe kupitia kwa Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama, ujumbe ambao anaamini kama ukifanyiwa kazi Tanzania itaweza kufikia malengo yake kwa haraka zaidi.

Dkt. Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti wa makampuni ya IPP alituma ujumbe huo kwa Waziri Mkuu wakati ufunguzi wa Kongamano la Mashauriano ya Ushiriki wa Watanzania katika Uwekezaji ambalo linafanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam, kongamano lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC).

Alisema kuwa pamoja na serikali kufanya jitihada nyingi ili kuwashirikisha wananchi wake katika uwekezaji kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi lakini bado kuna changamoto nyingi ambazo zimekuwa zikijitokeza na zinahitaji kufanyiwa kazi.

Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi akizungumza katika Kongamano la Mashauriano ya Ushiriki wa Watanzania katika Uwekezaji kwa niaba ya TPSF ambapo alitumia fursa hiyo kuishauri serikali mambo ambayo anaamini serikali ikiyafanyia kazi uchumi wa Tanzania utakua kwa kasi tofauti na sasa.

"Serikali imekuwa ikitumia pesa kuwapeleka vijana kusoma nje lakini nikakutana na kijana mmoja akaniambia kasoma nje lakini bado hana ajira na alipelekwa kusomea digrii ya mambo ya mafuta na gesi,

"Nadhani ni vyema serikali ikabidili mwenendo wake na kuhakikisha vijana wote ambao wanapelekwa kusoma nje wakirudi nchini wapewe nafasi za kazi ili kulisaidia taifa kwa hiyo naomba utufikishie ujumbe kwa Waziri Mkuu ukienda Dodoma katika mkutano mkuu wa chama," alisema Dkt. Mengi.

Pia alisema nchi yetu imekuwa ikitegemea zaidi kilimo hivyo iwekeze katika kilimo na iache kuagiza nje bidhaa ambazo zinatengenezwa na vyakula ambavyo vinapatikana nchini lakini pia kuwapa vipaumbele wawekezaji wazawa na hata wanapokuja wageni ihakikishe na watanzania wanashiriki kikamilifu katika kuwekeza.

Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF), Dkt. Reginald Mengi akizungumza katika Kongamano la Mashauriano ya Ushiriki wa Watanzania katika Uwekezaji lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi.

"Nchi yetu kwa miaka mingi tunajulikana kuwa tunafanya zaidi kilimo na nadhani hapa kunahitaji ushirikishwaji mkubwa wa watanzania na tuache kulima nanasi na hapo hapo tunaagiza juisi ya nanasi nje ni muhimu watanzania watambue kuwa nchi yao ni tajiri na wakishiriki kikamilifu itafika mbali," alisema Dk. Mengi.

Kwa upande wa Waziri Mhagama ambaye ndiye alikuwa mgeni rasmi alikiri kuwepo kwa baadhi ya changamoto ambazo zimekuwa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lakini serikali inalifahamu hilo na wameanza kufanya mabadiliko ya sheria na sera wanazozitumia kwa sasa.

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Ajira, Vijana, Wazee na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama akitoa hotuba katika kongamano hilo pamoja na kujibu baadhi ya hoja alizotoa Dkt. Mengi.

"Serikali inalifahamu jambo hilo kama kuna umuhimu wa kufanya mabadiliko ili kuwasaidia Watanzania kukuza uchumi wao na wa taifa, kwa sasa tumeanza kufanya mabadiliko kwa baadhi ya sheria na sera na tutaendelea kuangalia ni wapi kunahitajika mabadiliko ili kila jambo lifanyike kwa faida ya watanzania wote," alisema Waziri Mhagama.

Akielezea kongamano hilo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng`i Issa alisema malengo ya kongamano ni kubadilishana mawazo na wadau mbalimbali wa serikali na sekta binafsi lakini pia kushirikisha mashirika ya nje ya nchi ili kuweza kupata njia bora ambayo itakwenda kutumika katika kuwashikirikisha watanzania wote ili kila mmoja ashiriki kukuza uchumi wa taifa.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng`i Issa akielezea malengo ya kongamano hilo la siku mbili.

Baadhi ya wageni waalikwa ambao wamehudhuria kongamano hilo la siku mbili.



Wageni rasmi wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa kongamano.(Picha na Modewjiblog)

The crisis between the US and Iran is far from over

There are still many unanswered questions about the evidence of "imminent and sinister attacks" against Americans that led the US...